• LOGIN
  • No products in the cart.

DIRA (Compass)

 

 

 

 

 

 

 

 

Ksk : Kaskazini

Kskmsh : Kaskazini mashariki

Ksmsh : Kusini mashariki

Ks : kusini

Ksmgh : Kusini magharibi

Mgh : Magharibi

Kshmgh : Kaskazini magharibi

Sentensi.

  1. Mwalimu alienda Afrika kusini. (The teacher went to South Africa)
  2. Sisi tunaishi magharibi ya Uganda (we shall go to western Uganda)
  3. Mimi nilizaliwa afika kusini (I was born in South Africa)
  4. Yeye ataenda kusini ya Uganda kesho (He will go to Southern Uganda)
 

Courses

Featured Downloads