• LOGIN
  • No products in the cart.

VIONYESHI VISISITIZI (EMPHASIS DEMONSTRATIVES)

VIONYESHI VISISITIZI (EMPHASIS DEMONSTRATIVES)

Haya ni maneno ambayo hutilia mkazo vionyeshi vizungumzwavyo kwa ajili ya kuvisisitiza. Vionyeshi hivi hutumika kulingana na ngeli za majina. (These are words that emphasize demostraves talked about. They are used according to the classes of nouns)

Jedwali linaloonyesha vionyeshi visisitizi katika ngeli za majina.

Ngeli

 

Class

Nomino

 

Nouns

Hapa/karibu

 

(Here )

Hapo/mbali kidogo

 

(There)

Pale/mbali sana

 

(There)

 Mifano

 

(Example)

 

 

A

Wa

M/u

Mi/i

Ki

Vi

Li

Ya

U

Zi

N/i

N/zi

U

Ma

U

Ya

Ya

Ku

Pa

Ku

Mu

 

 

Mtu

Watu

Mti

Miti

kitabu

vitabu

yai

mayai

uzi

nyuzi

ngoma

ngoma

ugonjwa

magonjwa

uhuru

maziwa

maji

kusoma

pahali

shuleni

chumbani

 

 

Yuyu huyu

Wawa hawa

Uu huu

ii hii

kiki hiki

vivi hivi

lili hili

yaya haya

uu huu

zizi hizi

ii hii

zizi hizi

uu huu

yaya haya

uu huu

yaya haya

yaya haya

kuku huku

papa hapa

kuku huku

mumu humu

 

 

yuyo huyo

wao hao

uo huo

iyo hiyo

hicho hicho

vivyo hivyo

lilo hilo

yayo hayo

huo huo

zizo hizo

iyo hiyo

zizo hizo

huo huo

yayo hayo

uo huo

hayo hayo

hayo hayo

kuko huko

papo hapo

kuko huko

mumo humo

 

 

yule yule

wale wale

ule ule

ile ile

kile kile

vile vile

lile lile

yale yale

ile ile

zile zile

ile ile

zile zile

ule ule

yale yale

ule ule

yale yale

yale yale

kule kule

pale pale

kule kule

mle mle

 

 

Mtu yuyu huyu alitupa kalamu

Watu wawa hawa walitupa kalamu

Mti uu huu ni mrefu sana

Miti ii hii ni mirefu sana.

Kitabu kiki hiki ni kizuri

Vitabu vivi hivi ni vizuri

Yai lile lile ni viza

Mayai yale yale ni maviza

Uzi uu huu ni mrefu

Nyuzi ii hizi ni ndefu

Ngoma ile ile ni yetu

Ngoma zile zile ni zetu.

Ungonjwa uu huu ni hatari.

Magonjwa yaya haya ni hatari

Uhuru uo huo unatufaa

Maziwa yaya haya ni mazuri

Maji yay ohayo ni madogo.

Kusoma huku huku kunapendeza.

Pahali pale pale si pazuri.

Shuleni kule kule kuna mgomo

Chumbani mumu humu ni mpana

 

Courses

Featured Downloads