• No products in the cart.

LSC: SENIOR TWO KISWAHILI

Kuandika Insha: Hesabu

Kutambua maumbo mbalimbali na kuyalinganisha na vitu vya kawaida. Kukariri shairi. Kutunga sentensi katika ngeli ya Li-Ya. Kutambua vivumishi vya idadi na vya sifa na kuvitumia katika sentensi. Kufumba na kufumbua mafumbo. Kuandika insha.

Kuandika InshaStadi: KuandikaShughuli 5.12: Kuandika insha fupi kuhusu umuhimu wa hesabu.Katika makundi,Shirikiana katika kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimuwa kujua …