• No products in the cart.

Kiswahili New Lower Secondary Curriculum Syllabus

Kiswahili New Lower Secondary Curriculum Syllabus

Kiswahili New Lower Secondary Curriculum Syllabus

https://www.ncdc.go.ug/resource-form-submissions/secondary-curriculum/o-level-curriculum-revised-competency-based/kiswahili-syllabus

Kujifunza lugha ya Kiswahili kunawezesha wanafunzi kuwasiliana na wale wa nchi jirani zetu pamoja na wa dunia wanaotumia lugha hii. Ufasaha katika Kiswahili ni wa muhimu kwa kuwa utasaidia taifa kupanua ushirikiano katika uchumi wa kimataifa. Kunasaidia wanafunzi kufahamu utamaduni na mila za
nchi jirani zetu na kuheshimu utajiri wa utofauti duniani. Kunapanua upeo wa macho, huinua matamanio na huwezesha vijana kuwa raia wa kimataifa. Kujifunza lugha kunatoa msingi mpana wa mawasiliano kwa wanafunzi na kunaongeza fursa zao za kupata kazi zaidi ya mipaka yao.

Lugha hufanya mchango mkubwa kwa maendeleo ya stadi zote tano za msingi. Kujifunza lugha kunahusisha kiwango cha juu cha kufikiri kihakiki kama wanafunzi wanajenga welewa wao na
kuimarisha viungo mtambuko

Kufundisha na kujifunza lugha ya Kiswahili

Kiini cha mitalaa mipya ni cha kitajriba na kuelekea welewa wa ndani. Lengo katika lugha ya Kiswahili ni
uendelezaji wa welewa kupitia ujaribishaji, maulizo ya kisayansi na wazo la kimantiki. Kwa kawaida ni mazoezi yanayojulikana kupitia dunia, kuwa ujifunzaji lugha hutokea kimsingi katika lugha lengwa na lengo kuu liko kwa kuwasiliana. Matumizi ya teknolojia mpya yastahiki kufanywa maranyingi
iwezekanavyo.

Silabasi mpya zinawapa wanafunzi miktadha mingi mbalimbali ambamo waweza kuendelezea welewa huu, na miktadha hii imechorwa kuhusisha raghba ya mwanafunzi na kutoa fursa za kujenga maarifa
yanayohusiana na maisha, tajriba na stadi. Walimu wanahimizwa kwenda zaidi ya vitabu vya kiada na kutoa miktadha mingi yenye maana iwezekanavyo. Stadi za msingi zimejumuishwa kupitia mtalaa mzima na zaweza kupatikana tu kupitia mikakati ya utendaji.

Download the Syllabus Here

https://www.ncdc.go.ug/resource-form-submissions/secondary-curriculum/o-level-curriculum-revised-competency-based/kiswahili-syllabus

banner
February 29, 2024

0 responses on "Kiswahili New Lower Secondary Curriculum Syllabus"

Leave a Message