• No products in the cart.

LSC S2 :Afya na Usafi

Usafi ni suala muhimu katika kutunza afya njema kwa binadamu. Je! Unafikiri kwa nini ni muhimu kutunza usafi? Mada hii itakuwezesha kutambua jinsi ya kuendeleza usafi wa rnwili na wa mazingira yako, na jinsi ya kuepukana na magonjwa yanayotokana na uchafu.
banner

ASSIGNMENT : Kuandika Insha:Afya na Usafi MARKS : 10  DURATION : 1 week, 3 days