• No products in the cart.

LSC S2: Salamu na Adabu

Utangulizi Je! Unafikiri kwa nini ni muhimu watu kujuliana hali? Je! Ni matendo gani yanayotendwa na watu wenye adabu katika jamii? Mada hii itakuwezesha kutambua salamu mbalimbali na wakati mwafaka napotumika. Pia utaweza kuthamini umuhimu wa kujuliana hali katika jamii. Katika mada hii pia utajifunza mambo na vitendo vya adabu ambavyo vinafaa kutumika au kufanyika kila siku vinavyotimiza matakwa ya jamii
banner

ASSIGNMENT : Kuandika insha :Salamu na Adabu MARKS : 10  DURATION : 1 week, 3 days