• LOGIN
  • No products in the cart.

LSC S2: Usafiri

Utangulizi Usafiri ni hali ya watu, wanyama au vitu kwenda kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa miguu au kwa matumizi ya vyombo vya usafiri. Je! Wewe ni vyombo gani vya usafiri ambavyo umewahi kutumia?

Utangulizi
Usafiri ni hali ya watu, wanyama au vitu kwenda kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa miguu au kwa matumizi ya vyombo vya usafiri. Je! Wewe ni vyombo gani vya usafiri ambavyo umewahi kutumia?

Mada hii itakuwezesha kutambua na kujadili kuhusu vyombo vya usafiri, na jinsi ya kutumia aina za usafiri kwa namna inayofaa.

Vyombo vya usafiri
Stadi: Kusikiliza na Kuzungumza
Shughuli 6.1: Kutambua vyombo vya usafiri.
(i) Vyombo vya usafiri wa nchi kavu au barabarani
Katika makundi,

  1. Shirikiana katika kutaja vyombo vya usafiri mnavyoona katika
    picha zifuatazo;

2 Jadiljana kuhusu jinsi vyombo mlivyotaja katika (1) hapo juu,
vinatumika katika usafiri.
Vyombo vya usafiri wa majini
1 Shirikiana katika kutaja vyombo vya usafiri mnavyoona katika
picha zifuatazo;

  1. Shirikiana katika kuelezea vyomtx) mlivyotaja juu. jinga vinavyotumika katika usafiri.
    (iii) Vyombo vya usafiri wa angani
  2. Shirikiana katika kutaja vyomb0 vya usafiri katika picha zifuatazo;
  1. Shirikiana katika kuelezea vyombo mlivyotaja hapo juu, jinsi vinavyotumika katika usafiri.

Funzo b:
‘J. Stadi: Kusikiliza na Kuzungumza
Shughuli 6.2: Kueleza aina za usafiri nchini. Katika makundi,

  1. Jadiliana tena kuhusu vyombo vya usafiri mlivyotaja katika Shughuli 6.1 kisha weka kila chombo katika aina ya usafiri
    kinamotumika.
  2. Kwako wewe, ni aina gani ya usafiri ambayo ungependa kutumia ukiwa unasafiri. Eleza sababu.

Funzo ch:
Usalama barabarani
Stadi: Kusoma na Kuandika
Usalama barabarani unahusisha mbinu na vigezo
vinavyoweza kuzingatiwa kuzuia ajali za barabarani.
Shughuli 6.3: Kutambua msamiati wa usalama barabarani.
Katika makundi,

  1. Shirikiana katika kujadiliana kuhusu mnachoona katika michoro ifuatayo. Zungumzia kila mchoro kulingana na maoni yako.

Someni sentensi zituatazo na uzihusishe na baadhi ya michoro mlivojadili hapo juu,
Endesha kwa makini. pia ukitazama katika vioo vya pembeni
vya gari mara kwa mara.
Usivuke barabara kwenye kona.
Vuka barabara kwenye taa za barabarani au kwenye
mapitomilia.
Tembea kandoni ya barabara
Funga mkanda wa usalama wa kiti cha gari.
Usiongee kwa simu wakati ukiendesha.
Usikimbie wakati unavuka barabara.
Usiweke kichwa au mikono nje ya dirisha la gari
unamosafiria.
Usichezee barabarani.

  1. Jadiiiana na kutaja mnachojua kuhusu ishara za barabarani ztfuatazo:
  1. Soma kauli zifuatazo, useme ndiyo au siyo kuonyesha kuridhika
    au kutoridhika kwako. Toa sababu ya jibu lako.
    (i)Endesha kwa spidi iliyoagizwa.
    (ii)Usinywe pombe na kuendesha gari, pikipiki au kutembea
    barabarani.
    (iii)Usiendeshe huku ukihisi usingizi.
    (iv)Washa taa za gari au pikipiki wakati wa jioni au giza likiingia.
    Beba abiria walioagizwa.
    (vi)Zingatia alama zote za barabarani.
    (vii)Vuka barabara ovyo!
    (viii) Cheza mpira barabarani.

Taa za barabarani
SiAdr. Kusoma na Kuandika
Shughuli 6.4: Kueleza maana ya taa za barabarani.
Katika makundi,

  1. (a) Tazameni na kujadiliana kuhusu mnachoona katika picha hii.
    (b) Ni taa gani za barabarani mnazoona? Ni taa gani inayowaka?

2.
3.
Shirikiana katika kuelezea mnachojua kuhusu taa za barabarani.
Shirikiana na wenzako katika kujadiliana na kujibu maswali
yafuatayo.
(i) Ni taa gani inayofahamisha maderova kusimama?
(ii) Magari yanapaswa kwenda wakati taa ik•waka rangi gani?
(iii) Taa ya manjano inaashiria nini kwa madereva?

Funzo e: Ufahamu (Usafiri)
s’ Stadi: Kusoma na Kuandika
Shughuli 6.5: Kusoma makala kuhusu usatiri na kujibu maswali.
Katika makundi,

  1. Shirikiana katika kusoma na kujadiliana kuhusu taarifa iliyomo katika makala ifuatayo.
    Kesho yake, alfajiri ilitupata pale stendi kama tulivyokuwa umepanga. Ilikuwa ni Jumamosi nzuri, siku yangu ya kwanza kusafiri safari ndefu. Basi la T/NAGU Coaches lilipiga honi mchanganyiko lilipokuwa likiwasili. Shangazi Dushime aliomba kondakta atupe kiti cha mbele. Alitaka niende nikitazama vizuri
    vitu mbalimbali safarini.

Tulianza safari kutoka Kisoro mjini wakati wa saa kurni na mbili na nusu hivi. Dereva alikanyaga gari huku akipiga honi mara kwa mara. Alifanya hivi kuwatahadharisha madereva wenzake kuendesha vizuri katika kona hasa tulipofika sehemu inayoitwa Kanaba.

Kona za Kanaba zilinipendeza sana! Ungefikiri tunarudi tunakotoka, halafu ungeona barabara nyingine juu na nyingine chini, yaani nilifurahia vile zilizungukazunguka. Zilipendeza kweli kweli! Ungeona vizuri milima ya kule ng’ambo halafu na kule kwingine, halafu na mabonde Pia. Hakuna mtu aliyekuwa anaongea ila tu mvumo wa basi ndio ulisikika tu! Pale katika zile kona, dereva aliendesha polepole na kwa makini sana. Tena alihakikisha amebaki katika upande wake barabarani kwenye mkono wa kushoto ili magari yanayotoka tunakokwenda sisi, yasitatizike.

Baada ya muda si mrefu, nilisoma kwenye mabango yaliyotangaza biashara mbalimbali kama vile; hoteli, mikahawa, benki na vituo vya biashara vingine vilivyötÜkaribisha mjini Kabale. Punde si punde! Niliona tunaingia mjini Kabale. Pale katika kituo cha mabasi, kulikuwa na mabasi mengine saba, teksi kama
kumi na kitu, kuna zile zilizotafuta mahali pa kuegesha vizuri, nyingine zimejaa zinaondoka, nyingine zinaenda mbele huku nyingine zinarudi nyuma! Kulikuwa na watu wengi Pia! Kulikuwa na waliotaka kusafiri, walioshuka, makondakta, wachuuzi wa inywaji baridi na vuguvugu, wa njugu karanga, wa senene na a bidhaa nyingine mbalimbali.

Abiria wawili ndio waliingia basini wakati tulipokuwa pale stendi iliyokuwa mkabala na ‘Skyline Hotel’. Baadaye, dereva alikanyaga gari tena. Nilienda nikisoma mabango mbalimbali barabarani. Baada ya kusafiri kwa muda, niliona tuko Ntungamo, baadaye nikaona tunaingia jijini Mbarara! Huko, niliona kila aina ya magari, malori makubwa, magari madogo na hata bodaboda! Hata kuingia jijini, kulikuwa na msongamano kidogo wa magari.

Nilishangaa kuona baadhi ya abiria katika basi wamejifunga mikanda ya usalama huku wamelala usingizi fofofo! Nilidhani kila mtu angekuwa macho kutazama vitu mbalimbali safarini! Jijini Mbarara, niliona sanamu ya ng’ombe pale. Nilisoma neno “Rusiina” kwenye bango lililokuwa karibu na huyo ng’ombe.
Nilitaka kumwuliza. Shangazi Dushime lakini naye pia alikuwa
anakoroma! Sikutaka kumwamsha nimharibie usingizi.

Dereva alikanyaga gari likaitika mpaka nilipomsikia kondakta akisema, “wanaotaka kujisaidia, kununua nyama au vinywaji, tumewapa dakika kumi tu. Zikiisha tunaondoka”. Hapo basi liliegeshwa na watu wakaanza kushuka. Watu wengi waliovaa sare za buluu, walikuja kwenye madirisha ya basi wakiwa
wamebeba kila aina ya nyama na vinywaji. Wengi waliuza nyama a kuku, a mbuzi, na ya ng’ombe.

Shangazi alininunulia mishikaki miwili. Mmoja wa paja la kuku na mwingine wa nyamachoma ya mbuzi. Pia alininunulia gonja ya elfu moja ambayo ni aina ya ndizi inayochomwa. Nilikula huku nikinywesha soda baridi ya Novida. tulijiona tunaingia jijini Kampala baada ya muda wa saa mbili hivi. Nilifurahi siku hiyo jamani!

Niliachama nikiyatazama majengo marefu tena makubwa sana! Si magari, si bodaboda, si watu wanaotoka na wanaorudi, naokaa, wanaofanya biashara, honi za magari na bodaboda, ii! pii! Kutoka kila upande, hata watu wenyewe walitembea kwa

Gari katika kituo cha mabasi, tulishuka. Tulipanda toksi ilivokuwa inaenda Naguru.
Kuna sehomu tulifika nikaona taa za barabarani, Pia kulikuwa na askari polisi wa usalama barabarani.
Palo kwonye taa za barabarani tukiwa tumosirnama, nilisikia mlio mretu wa honi nyuma ya majengo kwenye mkono wa kulia Niliambiwa kuna roli nyuma ya rnajongo •tuuuuuuuuuuuuuu. , na sauti hiyo ilikuwa ni honi ya garimoshi.

Niliendelea kutazama pale kwonye taa za barabarani zile. Taa nyekundu ilizima na moja kwa moja kukawaka ya manjano. Dereva wa toksi yetu niliona akijitayarisha kwa kubadili gia yaaris Papo hapo! Taa ya kijani iliwaka. Ilipowaka, magari ya barabara tulimokuwa yote yalianza kuondoka. “Opio, tunashuka hapa! Tumefika nyumbani. Huu ndio mtaa wa Naguru. Nyumbani ni pale chini!” Shangazi alisema huku
tukishuka kutoka teksi baada ya kufika Naguru.

2.maneno mapya kutokana na makala, kisha tumieni
kamusi au mtandao wa intaneti kueleza na kuandika maana ya
maneno mapya hayo.
3 Pendekeza kichwa cha makala hii.
Shirikiana katika, kujadili na kujibu maswali yafuatayo.
(i) Msimulizi alisafiri na nani? Walisafiri kwa basi gani?
(ii)Kwa nini waliomba kukaa katika kiti cha mbele katika basi?
(iii)Ni katika mji gani msimulizi alikoona sanamu ya ng’ombe?
(iv)Kulingana na wewe, ni nini kilimshangaza msimulizi alipofika
Kampala?
(v)Shangazi Dushime anakaa mtaa gani akiwa Kampala?
(vi)Eleza jinsi taa za barabarani zinavyoelekeza madereva?
(vii)Msimulizi anaitwa nani?

Kazi mradi
Utaandaa makala yako mwenyewe, kuhusu safari yako ya masafa marefu uliyowahi kusafiri. Kwa kuongozwa na makala uliyosoma hapo juu, utawasilisha darasani kimasimulizi.

Ngeli ya I-Zi Funzo f:
Stadi: Kusoma na Kuandika

Kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi, nomino za ngeli
Zingatia
hii huchukua kiambishi i katika umoja na zi katika wingi.
Shughuli 6.6: Kutambua matumizi ya nomino za ngeli ya i-zi.
Katika makundi,

  1. (a) Kwa kurejelea vyombo vya usafiri, tambua na kuandika nomino zaidi ya tano za ngeli ya i-zi katika umoja na wingi.
    (b) Shirikiana katika kutumia kamusi kutafuta na kuandika nomino zozote nyingine zaidi ya tano za ngeli ya i-zi.
  2. Tazameni na kujadiliana kuhusu muundo wa sentensi na matumizi ya nomino za ngeli ya i-zi katika upatanisho wa kisarufi.

Upatanisho wa kisarufi kwa matumizi ya vimilikishi na viwakilishi

Upatanisho wa kisaruti kwa matumizi ya vionyeshi na vivurmshi katika ngeli ya i zi

  1. Shit’k!ana katika kutunga sentensl mbil\ mbill zenye maana katika umoja na Wingt za ngell ya i-zi kutokana na majedwail mtiyojadrli katika 2 (l) na (li) ya hapo juu.
  2. Shinklana katika kujadili na kuandlka sentensi ztfuatazo katika

0) Baske!i yako hii ni nzuri?
(n) Bodaboda yake iie ni ngumu sana.
(iii) Helikopta ya polisi itatua saa nane.
(iv) Karatasi yangu ile imeletwa na mwanafunzi.

Vivumishi viashiria
Stadi: Kusoma na Kuandika
Shughuli 6.7: Kutambua vivumishi viashiria na kuvitumia katika
sentensi.

Katlka makundi,

  1. Someni na kujadiliana kuhusu sentensi za umoja na wingi katika
    Jedwali ‘Ifuatalo.

2. Andika tena sentensi hizi ukizingatia vivumishi viashiria vya umbali kidogo na umbali zaidi katika umoja na wingi.
(a) Bodaboda hii imeendeshwa vizuri.
(b) Barabara hii ni ya lami.
3.Shirikiana katika kuandika wingi sentensi zifuatazo
(i)Treni hii inasafirisha watu wengi.
(ii)Ndege yake itatua saa saba mchana.
(iii)Punda huyu ni mkubwa kuliko yule.
(iv)Meli ile imebeba watu na magari.
(v)Barabara hii ina matope na mashimo men i.

funzo Viunganishi
Stadi: Kusoma na Kuandika
Shughuli 6.8: Kutambua viunganishi na kuvitumia katika sentensi.
Katika makundi,

  1. Shirikiana katika kusoma na kujadiliana kuhusu matumizi ya baadhi ya viunganishi vifuatavyo.

funzo Fasihi simulizi: Methali

i:Stadi: Kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika
Shughuli 6.9: Kukamilisha methali zinazohusiana na usafiri.
Katika makundi,

  1. Shirikiana katika kusoma na kujadiliana kuhusu maana namatumizi ya methali zifuatazo.

2 (a) Tazameni na kujadiliana kuhusu mnachoona aukinachotendeka katika michoro.
(b) Shirikiana katika kutaja na kueleza methali inayowezakuambatana na kitendo kinachotendeka katika kila mchoro.

Methali ni tungo fupi ambazo lengo lake maalumu ni Zingatiakuonya na kutoa mafunzo kwa watu katika jamii. Methali nyingi zinahitaji tafakuri ili kuelewa maana yake ya ndani inayokusudiwa.

  1. Shirikiana na wenzako katika kukamilisha methali zifuatazo.Chagua na kuambatanisha kipande kinachokamilisha methali kwa usahihi.

Funzo j:

Assignment

Kuandika Insha : Usafiri

ASSIGNMENT : Kuandika Insha : Usafiri MARKS : 10  DURATION : 1 week, 3 days

 

Courses

Featured Downloads