• 1

LSC S2:Sherehe katika Familia

Utangulizi Sherehe mbalimbali katika jamii ni suala la maana sana. Sherehe hizi huleta wanajamii pamoja kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali. Je! Ni sherehe gani uliyowahi kuhudhuria katika jamii yako? Ilihusu nini? Ilikuwaje? Mada hii itakuongoza kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na sherehe mbalimbali pamoja na vipengele vya lugha vilivyoteuliwa katika mawasilianao.

ASSIGNMENT : kuandika insha: sherehe katika familia MARKS : 10  DURATION : 1 week, 3 days

 

Related Courses

Featured Downloads

Advanced Course Search Widget

Subscribe or Download

top
Ask about the article or website +
Hello, I am Ultimate. Ask me about this article or website.