• No products in the cart.

LSC S2:Uongozi katika Jamii

Uongozi ni muhimu sana katika jamii. Hakuna jamii ambayo inaweza kuwa na amani bila uongozi bora. Kwa hiyo, tunafaa kuwa na uongozi bora katika jamii tunamotoka. Je, jamii yako ina viongozi wanaoiongoza? Viongozi hao wanafanya kazi gani katika jamii yako? Mada hii itakuwezesha kutambua na kutumia msamiati unaohusiana na uongozi pamoja na demokrasia
banner

ASSIGNMENT : Kuandika Insha :Uongozi katika JamiiKuandika Insha : MARKS : 10  DURATION : 1 week, 3 days