• No products in the cart.

LSC S2 :Hesabu

Utangulizi Je! Unaweza kuhesabu vidole vyako vyote katika Kiswahili? Ni vingapi basi? Sasa hivi ni saa ngapi? Leo ni tarehe gani? Mada hii itakuwezesha kutambua tarakimu mbalimbali katika Kiswahili na matumizi yake katika mazungumzo ya kawaida.
banner

ASSIGNMENT : Kuandika Insha: Hesabu MARKS : 10  DURATION : 1 week, 3 days